Listing Details
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHW
LOCATION KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETER 2
SIFA ZAKE
Vyumba viwili vya kulala vyote ni master
Sebule kubwa sana
Jiko zuri lenye makabati lipo full heater ya maji moto,vuguvugu chooni
Public toilet ndani
Umeme luku yake
Maji ya bili dawasa
Nyumba ipo ndani ya fence parking space kubwa uwanjani kuna paving block nyumba ni mpya

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)