Listing Details
MUUNDO
- Vyumba vya kulala viwili masta moja
- Sebule
- Jiko zuri lenye kabati
- Choo cha umma
HUDUMA
- Maji ya kujitengemea
- Umeme wa kujitengemea
- Uzio
- Maegesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi 400000/= na malipo ni kila baada ya miezi sita
- Hela ya kwenda kuona chumba/vyumba ni 15000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipa mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item