Listing Details
MUUNDO
- Vyumba vya kulala viwili vyote ni masta
- Sebule
- Jiko zuri lenye kabati
- Choo cha umma
- Water reserve tank
HUDUMA
- Huduma ya maji ipo
- Huduma ya umeme ipo
- Uzio
- Maegesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi 250,000/= na malipo ni kila baada ya miezi minne
- Hela ya kwenda kuona chumba ni 15,000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo kwa mwezi mmoja na analipa mteja

Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 13
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)