Listing Details
MUUNDO
Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta
Sebule
Jiko lenye kabati
Choo chenye umma
HUDUMA
Huduma ya umeme ipo
Huduma ya maji ipo
Uzio
Maegesho ya gari
GHARAMA
Malipo kwa mwezi ni 250,000/= na malipo ni kila baada ya miezi sita
Hela ya kwenda kuona chumba vyumba ni 15,000/=
Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipia mteja

Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 13
Safety Tips
- Meet seller at a safe location                 . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy                . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service           . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)