Listing Details
MUUNDO
- Vyumba viwili vya kulala vyote masta
- sebule
- jiko zuri lenye kabati
- public toilet
HUDUMA
- Maji ya kujitengemea
- umeme wa kujitengemea
- uzio
- maegesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi 400,000/= na malipo ni kula baada ya miezi sita
- hela ya kwenda kuona chumba ni 15000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na anaelipa ni mteja

Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 13
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)