Listing Details
🟧 Nyumba ipo Igeleke inapangishwa laki na nusu Kwa mwezi.
🟠 Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala mojawapo ni Masta
🟠 Nyumba Ina Jiko na Stoo kubwa
🟠 Malipo ni miezi mitatu mitatu.
🟠 Nyumba Ina Jiko la nje pia linalojitegemea
🟠 Nyumba Ina choo na BAF za Public
🟠 Nyumba Ina Mlango mdogo wa duka Kwa nje ambao upo upande wa barabaran
🟠 Nyumba Ina kijumba kidogo kwaajili ya ufugaji, mfano kuku
🟫 Nyumba Ina Sehemu ya kulima mbogamboga.
🟠 Imezungushiwa fensi ya matapa.
🟦 NB. Nyumba inauzwa pia million 45 net.
⬛ Eneo ni kubwa ambalo mtu akitaka kujenga anajenga nyumba Nyingine.

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)