Listing Details

img
  • Apartments / House
  • Views : 63

Nyumba inauzwa Block X

🟠 Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala na mojawapo ni masta 

🟠 Sebule na Sehemu ya chakula (dinning)

🟠 Jiko na Stoo

🟠 Choo Cha umma (Public toilet)

🟠 Huduma ya umeme na maji zipo 

🟠 Kuna Tenki la maji (Water reserve tank)

🟠 Nyumba Ina fensi na Sehemu ya kupaki gari 

⬛ Kuna vyumba viwili vya nje (vipo ndani ya fensi)

🟫 Mabanda ya ufugaji wa kuku mawili

🟦 Miparachichi 9 aina ya hasi

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 48

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location                                  . (Kutana na muuzaji sehem salama)
  • Check the item before you buy                               . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
  • Pay only after collecting item/service                      . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)

Contact Us