Listing Details
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI/PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE ZINATUMIKA
SIFA ZAKE
. Vyumba viwili vya kulala kimoja master
.Sebule kubwa
NOTE; MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
ADA YA KWENDA KUONYESHWA NYUMBA AU CHUMBA NI TSH 10000
.Jiko zuri lenye makabati makubwa
. Public toilet ndani zipo tatu ndani ya hii moja ndio itakuwa wazi
. Umeme luku yake
. Maji mita yake
. Parking space kubwa uwanjani paving block
. Malipo ya dalali ni makubaliano ya kiofisi
.

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)