Listing Details
LOCATION nyumba ipo kimara suka
Nyumba ni nzuri sana ila kuna umbali wa km 3.5
Ni chumba masteer na sebule kubwa sana na jiko safi la kisasa
Nyumba ipo ndani ya fensi parking kubwa sana
Namazingira yake ni masafi na mazuri
usafiri bajaji ni 1000 na doda ni 15 ukihuka kwenye usafiri ni dakika 4 upo ndani
MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)