Listing Details
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO KIMARA MWISHO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATA
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kati ya hivyo kimoja wapo ni master bedroom
Sebule kubwa Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
malipo ya dalaliu ni maelewano ya kiofisi
Maliupo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja
Ada ya kumuonyesha mtu chumba au nyumba ni aTsh 10000
. Inayopangishwa ni ya juu gorofani
. Zpo apartment tatu tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio inapangishwa
## APARTMENT HII IPO KIMARA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)