Listing Details
Nyumba inapangishwa ina double chumba na sebule nzuri sana ndani ya fence
Nyumba ipo kimara temboni
Nyumba hii ipo ndani ya fance
Lakini hailazi gari
Tiles/Gipsum
Alminium
Maji safi dawasa
Umeme wanashare w4
Choo wanashare w2
UMBALI WAKE KUTOKA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYEÂ NYUMBA NI KM3
BAJAJI 1000/=
BODA 1500/=

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location                 . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy                . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service           . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)