Listing Details

img
  • Apartments / House
  • Views : 61

Nyumba inapangishwa kimara barabara ya zenge

NYUMBA INAPANGISHWA  IPO KIMARA STOP OVER BARABARA YA ZEGE UMBALI TOKA MOROGORO ROAD DAKIKA 2 UKISHUKA KWENYE MWENDOKASI

Nyumba inavyumba viwili vya kulala hakuna master inasebule choo cha kwak mwenyewe cha nje na baraza kubwa la kupikia nyumba ipo ndani ya fensi parking safi kabisa umeme wake maji ya dawasco masaa24

  Nyumba inatails jipysum madilisha ya kioo

  Kupelekwa kuona nyumba chugg ni 15

 

Naukipenda nyumba ni kodi ya mwezi mmoja kwa dalali pindi ulipiapo nyumba

  Malipo ya dalali ni makubaliano ya kiofisi

MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA

KUONYESHWA  CHUMBA AU NYUMBA NI TSH 10000

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 48

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location                                  . (Kutana na muuzaji sehem salama)
  • Check the item before you buy                               . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
  • Pay only after collecting item/service                      . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)

Contact Us