Listing Details
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
SIFA ZAKE
MALIPO YA KODI NI MIEZI MINNE
CHUMBA NI MASTER
JIKO KIBWA
MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
ADA YA KWENDA KUONYESHWA NYUMBA AU CHUMBA NI TSH 10000(ELFU KUMI)
. TAILS
. ALMINIUM
. MAJI DAWASA METER YAKE
. MAJI YANAFLOW NDANI
. UMEME WANASHEA WATU
. PARKING KUBWA
. FULL PAVING BLOCK
UMBALI WAKE KUTOKA MOROGORO ROAD MBAKA KWENYE NYUMBA NI KM2
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
NOTE: MALIPO YA DALALI NI MAKUBALIANO YA KIOFISI

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)