Listing Details
Nyumba inapangishwa inavyumba vitatu vya kulala na viwili ni masta
Choo na bafuu vya public
Jiko na stoo mbili kwajili ya kuweka vitu
Vyumba vya kulala vyote vina tiles
Nyumba ipo majengo nga'mbo ya sabasaba
Malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja
Ada ya kumuonyesha mtu chumba au nyumba ni Tsh 10000

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location                 . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy                . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service           . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)