Listing Details
Apartment nzuri mpya kabisa zinapangishwa
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKAÂ UNATEMBEA DAKIKA TATU UMEFIKA
SIFA ZAKE
Chumba kimoja master kubwa
Sebule kubwa sanaÂ
Maji dawasco yana flow ndani
Umeme luku yako
Parking space kubwa
NB, Nyumba inavyumba vikubwa sana vya kutosha na baraza kubwa la kupumzika
 Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Ada ya kumuoyesha mtu chumba au nyumba ni Tsh 10000

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location                 . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy                . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service           . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)