Listing Details
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
Kuna apartment 2 tu kwenye compaund moja
N a kila moja inajitegemea umeme na maji yapo ya DAWASA yanaflow ndani
Vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo ndani aina master
Ina TILES GYPSUM ALMINIUM safi ndani ya fence parking ipo
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBANI USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA KOROGWE NA MIA SABA KUTOKA UBUNGO EXSTENO
Servichaj elfu 15 na ita dumu mbaka upate nyumba bila kuchajiwa tena

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)