Listing Details
- Apartments / Nyumba / Vyumba
- Views : 228
Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala inapangishwa
MUUNDO
●Sebule na dinning
●Vyumba vitatu vya kulala na mojawapo ni Masta.
●Jiko
HUDUMA
■Umeme wa kujitegemea (Independent electricity)
■Maji ya kujitegemea (Independent water)
■Nyumba ipo ndani ya fensi.
■ Njia inafikika kirahisi ukiwa na gari
■Usalama ni mkubwa
■Extra simtank for water reserve.
GHARAMA
□Kodi ni laki sita kwa mwezi na malipo kuanzia miezi sita.
□Malipo ya dalali ni mwezi mmoja.
- Internet Access
- Gym/Fitness
- Pet-Friendly
- Dishwasher
- Garbage Disposal
Shaibu Kayombo
- Member Since 2024
- Total Listing : 1
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item