Listing Details
MUUNDO
• Nyumba inavyumba vitatu vya kulala na mojawapo ni Masta
• Sebule na dinning
• Jiko
• Stoo
• Public Toilet & bathroom.
HUDUMA
√ Huduma ya Umeme na Maji ni uhakika.
√ Nyumba ipo ndani ya fensi na Sehemu kubwa ya parking yenye pavings.
√ Usalama ni Mkubwa.
GHARAMA
• Pango la Mwezi ni Laki Nne (400,000/=) na malipo ni kila baada ya miezi sita au zaidi.
• Gharama ya kupelekwa kuoneshwa ni 15000/= na malipo ya mwezi mmoja ya ofisi ikiwa mteja atalipia Chumba.
- Internet Access
- Swimming Pool
- Gym/Fitness
- Pet-Friendly
- Laundry Facilities
- Walk-In Closets
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item