Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 136

Nyumba inapangishwa, Vyumba Viwili Vya Kulala Sebule na Jiko.

          MUUNDO

•Sebule

•Vyumba viwili vya kulala

•Jiko lenye makabati

•Choo Cha nje

            HUDUMA

Umeme wa kujitegemea (Independent Electricity)

✓Maji ya kujitegemea (Independent water )

✓ Parking

✓Fence

✓Fern

✓Heater

✓A.C

          GHARAMA  

∆.  Malipo yanafanyika kila baada ya miezi sita au zaidi. Kwa mwezi mmoja ni million Moja na laki moja. (1.1M)

∆. Malipo ya dalali ni mwezi mmoja.

 

 

  • Internet Access
  • Swimming Pool
  • Gym/Fitness
  • Pet-Friendly
  • Walk-In Closets
  • Dishwasher
  • Garbage Disposal
  • Scenic Views

thumb

Flavian Mlwilo

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us