Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 185

Nyumba ya kisasa inauzwa

     MUUNDO

∆ Nyumba inavyumba vitatu vya kulala na mojawapo ni Masta.

∆ Sebule

∆ Dinning

∆ Jiko lenye makabati.

√ Nyumba inamfumo wa maji moto pamoja na feni Sebuleni na kwenye vyumba.

√ Nyumba ipo ndani ya fensi na Sehemu ya parking ndani ya fensi Ina pavings.

√ Nyumba ipo Mtaa Wa National Housing karibu na njia ya kuelekea Arusha.

 

            GHARAMA 

Million 190 ya Kitanzania. (190,000,000/=) tuu.

 

  • Internet Access
  • Swimming Pool
  • Gym/Fitness
  • Walk-In Closets
  • Dishwasher
  • Garbage Disposal
  • Scenic Views

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us