Listing Details
- Apartments / Nyumba / Vyumba
- Views : 108
Nyumba tatu ndani ya fensi Moja Tabata Kisukuru zinapangishwa
MUUNDO
√ Vyumba viwili vya kulala
√ Sebule kubwa
√ Jiko kubwa la kisasa
√ Choo Cha Public
HUDUMA
∆ Huduma ya umeme na maji zipo
∆ Nyumba ina fensi na sehemu ya parking ni kubwa
∆ Usafir wa daradara ni 500/=
NB.
• Nyumba ipo Tabata kisukuru njia ya maji chumvi na korogwe.
• Malipo ya Kodi yatalipwa kuanzia miezi sita na kuendelea
• Gharama ya ofisi ni laki nne
- Internet Access
- Swimming Pool
- Gym/Fitness
- Air Conditioning
- Pet-Friendly
- Laundry Facilities
- Walk-In Closets
- Fireplace
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
Flavian Mlwilo
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item