Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 30

Nyumba inapngishwa Tanga-Kange

MUUNDO

  • Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta
  • Sebule kubwa
  • Jiko kubwa la kisasa
  • Choo chenye umma

HUDUMA

  1. Huduma ya maji ipo
  2. Huduma ya umeme ipo
  3. Uzio
  4. Maegesho ya gari

GHARAMA

  • Malipo  kwa mwezi 250,000/= na malipo ni kila baada ya miezi minne
  • Hela ya kwenda kuona chumba/vyumba ni 15000/=
  • Gharama ya ofisi ni mwezi mmoja na analipa mteja

thumb

Frida Mbalu

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 22

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us