Listing Details
MUUNDO
•Sebule
•Chumba kimoja Cha kulala,
•Jiko lenye makabati.(Open Kitchen)
•Choo Cha ndani
HUDUMA
√ Huduma ya Umeme ipo
√ Huduma ya maji ipo
√ Air condion ipo Sebuleni
√ Heater ya maji ya moto ipo
√ Huduma ya mlinzi ipo, na mlinzi analipwa na mwenye nyumba.
GHARAMA
270,000/= Kwa mwezi na malipo ni miezi sita.
Malipo ya mwezi mmoja ni kwaajili ya ofisi.
LOCATION
Mbezi kinanda Cha mkaa, Umbali wa dakika kumi kutoka Morogoro Road.
- Internet Access
- Swimming Pool
- Gym/Fitness
- Pet-Friendly
- Laundry Facilities
- Walk-In Closets
- Fireplace
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
Flavian Mlwilo
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item