Listing Details
MUUNDO
- Vyumba viwili vya kulala moja ni masta
- Sebule
- Jiko
- Choo cha Umma
HUDUMA
- Huduma ya maji ipo
- Huduma ya umeme ipo
- Uzio
- Maegesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi ni 400,000/= na malipo ni mkila baada ya miezi sita
- Hela ya kwenda kwenda kuona chumba ni 15,000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi moja na analipa mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item