Listing Details
MUUNDO
√ Vyumba vitano vya kulala na vitatu ni masta
√ Nyumba Ina choo na dinning
√ Jiko
√ Stoo
√ Choo Cha Public
HUDUMA
∆ Huduma ya umeme na maji zipo
∆ Nyumba Ina fensi na Sehemu ya parking ni kubwa.
∆ Nyumba ina garden kubwa
∆ Water reserve tank
NB: Nyumba inauzwa Kwa gharama ya million 650 na mazungumzo yapo, pia Mpangaji anakaribishwa.
Flavian Mlwilo
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item