Listing Details
MUUNDO
- Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta
- Sebule
- Jiko
- Choo chenye umma
HUDUMA
- Maji ya kujitegemea
- Umeme wa kujitegemea
- Uzio
- Maegesho ya gari
- Nyumba ina a.c heater
- Water reserve tank
GHARAMA
- Malipo ya mwezi ni 250,000/= na malipo ni kila baada ya mwezi sita
- Hela ya kwenda kuona nchumba /vyumba 15000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipia mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item