Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 108

Nyumba inapangishwa mbezi kwa Msuguri.

                       MUUNDO 

∆ Chumba kimoja masta 

∆ Sebule kubwa

∆ Jiko 

 

                       HUDUMA  

√ Huduma ya umeme na maji zipo na unajitegemea

√ Nyumba ipo ndani ya fensi na sehemu ya parking ni kubwa

√ Usafir hadi Morogoro road ni 700/= Kwa bajaji na 1000/= Kwa bodaboda.

 

                     GHARAMA 

• Gharama ya pango ni Laki na themanini na malipo ni kuanzia miezi sita.

• Gharama ya ofisi ni Laki na themanini 

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us