Listing Details
MUUNDO
∆ Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni Masta
∆ Sebule Kubwa
∆ Jiko na Stoo
∆ Choo Cha Public
HUDUMA
√ Huduma ya umeme na maji zipo
√ Nyumba ina a.c na heater
√ Sehemu ya parking ipo
√ Usalama ni Mkubwa.
GHARAMA
• Kwa siku ni Laki moja na nusu, ikiwa mteja atahitaji kukaa mwezi mmoja mazungumzo yapo.
- Internet Access
- Swimming Pool
- Gym/Fitness
- Pet-Friendly
- Walk-In Closets
- Fireplace
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item