Listing Details
MUUNDO
- Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta
- Sebule kubwa
- Jiko kubwa la kisasa
- Public toilet
- Dinning
- Store
HUDUMA
- Huduma ya maji ipo
- Huduma ya umeme ipo
- Uzio
- Megesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi 300,000/= na malipo ni kila baada ya miezi mitano
- Hela ya kwenda kuona chumba ni 15,000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipia mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item