Listing Details
MUUNDO.
√ Sebule kubwa
√ Vyumba viwili vya kulala mojawapo ni masta
√ Jiko la kisasa
√ Choo Cha Public
HUDUMA
∆ Umeme na maji zakujitegemea
∆ Nyumba ina fensi na Sehemu ya parking ni kubwa.
∆ Nyumba ipo Mbezi ya Kimara Umbali wa dakika kumi hivi Kwa mguu kutokea Morogoro Road.
GHARAMA
• Gharama ya pango ni Laki tatu na nusu na malipo ni miezi sita na kuendelea.
• Gharama Za ofisi ni Laki tatu na nusu tuu.
- Internet Access
- Swimming Pool
- Gym/Fitness
- Air Conditioning
- Pet-Friendly
- Laundry Facilities
- Walk-In Closets
- Fireplace
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item