Listing Details
MUUNDO
√ Chumba kimoja masta
√ Sebule kubwa
√ Jiko la kisasa
HUDUMA
• Huduma ya maji na umeme vipo
• Nyumba Ina parking na ipo ndani ya fensi.
• Umbali kutoka kituo Cha mwendokasi ni kilomita Moja na Nauli ni miatano Kwa bajaji na boda ni elfu Moja.
GHARAMA
∆ Malipo ni Laki tatu Kwa mwezi na yanafanyika kuanzia miezi sita.
∆ Hela ya ofisi ni mwezi mmoja yaani laki tatu tuu.
- Internet Access
- Gym/Fitness
- Air Conditioning
- Pet-Friendly
- Laundry Facilities
- Walk-In Closets
- Fireplace
- Dishwasher
- Garbage Disposal
- Scenic Views
John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 21
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item