Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 102

Nyumba inapangishwa Kimara - Korogwe

                    MUUNDO 

∆ Vyumba vitatu vya kulala na mojawapo ni masta

∆ Sebule na dinning

∆ Choo Cha Public

∆ Jiko lenye makabati na lakisasa

                      HUDUMA

√ Huduma ya umeme na maji ipo na unajitegemea

√ Nyumba ina fensi na sehem ya parking ni kubwa sana.

√ Njia inafikaka Kwa urahisi, bajaji ni mia tano tuu.

 

                       GHARAMA   

• Malipo ya nyumba yanaanzia miezi sita. (400,000/= × 6)

• Gharama ya ofisi ni Laki Nne 

 

  • Internet Access
  • Swimming Pool
  • Air Conditioning
  • Laundry Facilities
  • Walk-In Closets
  • Fireplace
  • Dishwasher
  • Garbage Disposal
  • Scenic Views

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us