Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 107

Nyumba inapangishwa kigamboni.

                     MUUNDO

 ∆ Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta

∆ Sebule kubwa

∆ Jiko lakisasa 

 

                     HUDUMA 

√ Huduma ya umeme na maji zipo na unajitegemea

√ Nyumba ipo ndani ya fensi na sehemu ya parking ni kubwa.

√ Nyumba ipo karibu na barabarani

 

                       GHARAMA  

• Gharama ya pango ni Laki Nne na malipo yanaanzia miezi minne na kuendelea.

• Gharama ya ofisi ni Laki Nne 

  • Internet Access
  • Swimming Pool
  • Gym/Fitness
  • Air Conditioning
  • Pet-Friendly
  • Laundry Facilities
  • Walk-In Closets
  • Fireplace
  • Dishwasher
  • Garbage Disposal
  • Scenic Views

thumb

John Flavian

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us