Listing Details
MUUNDO
- Vyumba viwili vya kulala na mojawapo ni masta
- Sebule kubwa
- Jiko lenye kabati
- Choo chenye umma
HUDUMA
- Huduma ya maji ipo masaa 24
- Huduma ya umeme ipo
- Uzio
- Maegesho ya gari
GHARAMA
- Malipo kwa mwezi ni 250,000/= na malipo ni kila baada ya miezi 6
- Hela ya kwenda kuona chumba/vyumba ni 15,000/=
- Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipia mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item