Listing Details
MUUNDO
Vyumba viwili vya kulala moja ni masta
Sebule
Jiko zuri lenye kabati
Choo chenye Umma
HUDUMA
Huduma ya maji ipo
Huduma ya Umeme ipo
Uzio
Maegesho ya gari
Nyumba ina a.c & heater
Water Resarve tank
GHARAMA
Malipo kwa mwezi ni 400,000/= na malipo ni kila baada ya miezi sita
Hela ya kwena kuona chumba/vyumba ni 15,000/=
Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipa mteja
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item