Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 17

Nyumba inapangishwa Iringa

MUUNDO

  • Vyumba viwili wa kulala na mojawapo ni masta
  • Sebule
  • jiko lenye  kabati
  • Choo cha umma

HUDUMA

  1. Huduma ya maji ipo
  2. Huduma ya umeme ipo
  3. Uzio
  4. Maegesho  ya gari

GHARAMA 

  • Malipo kwa mwezi400.000/= na malipo ni kila baada  mieezi 6
  • Hela ya kwenda kuona chumba/vyumba ni 15,000/=
  • Gharama ya ofisi ni malipo mwezi moja na analipia mteja

thumb

Frida Mbalu

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 22

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us