Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 17

NYUMBA INAPANGISHWA DODOMA-ILALO

MUUNDO

  1. Vyumba viwili vya kulala na mijawapo ni masta
  2. Sebule
  3. Jiko lenye kabati
  4. Choo chenye umma

HUDUMA

  • Huduma ya maji ipo masaa 24
  • Huduma ya umeme ipo
  • Uzio
  • Maegesho ya gari

GHARAMA

  1. Malipo  kwa mwezi ni 250,000/=na malipo ni kila baada ya miezi 6
  2. Hela ya kwenda kuona chumba/vyumba ni 15,000/=
  3. Gharama ya ofisi  ni malipo ya mwezi mmoja na analipoa mteja

 

thumb

Frida Mbalu

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 22

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us