Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 31

Nyumba inapangishwa Dodoma

MUUNDO

  • Vyumba vinne (moja na masta
  • Sebule
  • Jiko
  • Choo chenye umma

HUDUMA

  1. Huduma ya maji ipo
  2. Huduma ya umeme ipo
  3. Uzio (Fance)
  4. Maegesho ya gari

GHARAMA

  • Malipo kwa mwezi 600,000/= na malipo ni kila baada ya mwezi sita
  • Hela ya kwenda kuona chumba ni  15,000/=
  • Gharama ya ofisi ni malipo ya mwezi mmoja na analipa mteja

thumb

Frida Mbalu

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 22

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us