Listing Details

img
  • Apartments / Nyumba / Vyumba
  • Views : 130

Nyumba inapangishwa changanyikeni

                      MUUNDO

∆ Vyumba vitatu vya kulala na viwili ni master

∆ Sebule na dinning 

∆ Choo Cha Public

∆ Jiko lenye makabati

 

                     HUDUMA

√ Huduma ya umeme na maji ipo

√ Huduma ya parking ya gari ipo

√ Huduma ya a.c ipo

√ Huduma ya feni ipo 

√ Nyumba ipo ndani ya fensi.

 

         GHARAMA

• Malipo ni miezi sita na kuendelea, Kwa mwezi ni milioni Moja na nusu.

• Hela ya ofisi ni mwezi mmoja na kwenda kuoneshwa Chumba ni elfu ishirini tuu.

 

  • Internet Access
  • Swimming Pool
  • Gym/Fitness
  • Pet-Friendly
  • Laundry Facilities
  • Balcony/Patio
  • Walk-In Closets
  • Fireplace
  • Dishwasher
  • Garbage Disposal
  • Scenic Views

thumb

Flavian Mlwilo

  • Member Since 2024
  • Total Listing : 21

Safety Tips

  • Meet seller at a safe location
  • Check the item before you buy
  • Pay only after collecting item

Contact Us