Listing Details
Tunauza saruji (cement) mfuko mmoja wenye kilo 40 ni 16500
Saruji yenye kilo 50 (32.5) ni 17500/=
Saruji yenye kilo 50 (42.5) ni 19000/=
Ikiwa mteja atachukua mzigo mkubwa atapata punguzo kubwa sana.
Frida Mbalu
- Member Since 2024
- Total Listing : 22
Safety Tips
- Meet seller at a safe location
- Check the item before you buy
- Pay only after collecting item