Listing Details
SHAMBA LINAUZWA
Shamba lipo peruanda karibu na mpaka wa kijiji cha idunda
Shamba lipo bondeni
Linafaa kwa kilimo cha parachichi,viazi,maharage,mahindi,n.k
Barabara ya gari ipo
Shamba lipo karibu na mashamba ya parachichi
GHARAMA ZINGINE
Kuonyeshwa viwanja TZS 20,000
Ada ya ununuzi wa ardhi na nyumba (inayolipwa na muuzaji):10% ya thamani ya mauzo
. Malipo ya dalali ni makubariano ya kiofisi

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)