Listing Details
🟠 Frem za biashara zinapangishwa Kambarage karibu na zahanati ya Nzengerendete.
🟠 Frem za biashara zipo za bei tofauti kuanzia elfu themanini hadi elfu hamsini.
🟠Malipo ni miezi sita na kuendelea
🟠 Fremu zinafaa Kwa maduka ya urembo, nguo, vipodozi, n.k
🟠 Kuna huduma ya umeme wa sola
🟠 Kuna huduma ya usafi wa mazingira yanayozunguka hayo maduka

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)