Listing Details
🟠 Kiwanja kipo Hagafilo Mtaa wa matrafiki
🟠 Uwanja unafaa Kwa Makazi au nyumba ya biashara
🟠 Huduma ya Umeme na maji zipo
🟠 Uwanja unaukubwa wa mita za mraba mia saba

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)