Listing Details
🟠 Uwanja upo kati ya barabara mbili za Mtaa na upo karibu na Shule ya Sekondari Mpechi
🟠 Uwanja unafaa kwaajili ya Makazi au Kanisa Dogo kwaajili ya Ibada au Nyumba kwaajili ya biashara
🟠 Uwanja unaukubwa wa mita za mraba mia tisa
🟠 Huduma za Umeme na Maji zipo

John Flavian
- Member Since 2024
- Total Listing : 48
Safety Tips
- Meet seller at a safe location . (Kutana na muuzaji sehem salama)
- Check the item before you buy . (Kagua bidhaa kabla ya Kununua)
- Pay only after collecting item/service . (Lipa baada ya kupata bidhaa/huduma)